Kutoka Maktaba: Unaweza Kuwataja Wachezaji hawa

Nilikuwa mdogo sana under 5 hivi, lakini nakumbuka maneno haya kutoka kwa mtangazaji.

"Sylvinho with a ball, Sylvinho it's Sylvinho Sylvinho and still Sylvinho, Sylvinho Sylvinho Gooool. You won't believe this but is Sylvinho"

Hili goli nikumbusheni alifunga mechi ipi? Nahisi ilikuwa Champions League.
 
Golia david seaman!! Hii ndio arsenal iliyonifanya niipende arsenal kwa timu za uingereza, km si arsenal hii basi ningekuwa mpenzi wa Liverpool kwa jinsi nilivyokuwa namuhusudu captain steven Gerrard

Arsenal hii ilikuwa inanikosha mnoo, dennis bergkamp bonge moja la player, ana jicho la 3, hatar akiwa na mpira mguuni, skills za kutosha akili nyingi kichwani!!
Th14 sijui nimuelezeaje huyu jamaa striker yangu bora namba 2 nyuma ya ronaldo de lima. Ana speed,skills,jicho la goli, jicho la pasi, anajua kufunga..

Patrick viera hatari akiwa na mpira, hatari asipokuwa na mpira mguuni, mapafu ya mbwa, mtu mgumu pae kati.. So sad alituacha arsenal tukiwa bado tunamuhitaji.

Wengine kwa haraka haraka namuona winterbun, lee dixon, petit, overmass(winga teleza), martin keown, tony adams na silvinho.
Hilo chama wakati huo unaenda kuangalia mpira bila pressure kabisa
 
Kweli wee Muhenga, alafu utakuwa the gunners mwenzangu, vipi Chelsea tutamuweza kweli final ya Europa cup
Mim Man U na Nyota wangu wa muda wote kwenye Soka Paul Scholes.The best central midfield, The Einstein of football. Tangu naanza kuangalia ligi ya England 1995 sijamuona mchezaji wa kariba yake.
Ila Arsenal hii ilikua inatupa tabu sana ilikua na wachezaji wababe na wanao utandika Mpira kisawasawa.
 
Ray parlow,seaman,bergkamp,martin kewon,petit
Vieira,dixon,adams,overmas,henry,silvinho
 
Nilikuwa mdogo sana under 5 hivi, lakini nakumbuka maneno haya kutoka kwa mtangazaji.

"Sylvinho with a ball, Sylvinho it's Sylvinho Sylvinho and still Sylvinho, Sylvinho Sylvinho Gooool. You won't believe this but is Sylvinho"

Hili goli nikumbusheni alifunga mechi ipi? Nahisi ilikuwa Champions League.
Alifunga dhidi ya Fc Sparta Praha, mwaka 2000.
 
Golia david seaman!! Hii ndio arsenal iliyonifanya niipende arsenal kwa timu za uingereza, km si arsenal hii basi ningekuwa mpenzi wa Liverpool kwa jinsi nilivyokuwa namuhusudu captain steven Gerrard

Arsenal hii ilikuwa inanikosha mnoo, dennis bergkamp bonge moja la player, ana jicho la 3, hatar akiwa na mpira mguuni, skills za kutosha akili nyingi kichwani!!
Th14 sijui nimuelezeaje huyu jamaa striker yangu bora namba 2 nyuma ya ronaldo de lima. Ana speed,skills,jicho la goli, jicho la pasi, anajua kufunga..

Patrick viera hatari akiwa na mpira, hatari asipokuwa na mpira mguuni, mapafu ya mbwa, mtu mgumu pae kati.. So sad alituacha arsenal tukiwa bado tunamuhitaji.

Wengine kwa haraka haraka namuona winterbun, lee dixon, petit, overmass(winga teleza), martin keown, tony adams na silvinho.
Mkuu Makaveli10,

Nigel Winterburn hayupo katika kikosi hiko. Sikumbuki vizuri ama alishaondoka au kwenye mechi hiyo alikuwa sub. Maana nafasi yake namiona Sylvinho hapo.

Hapo nauona ukuta wa chuma wa Arsenal uliokuwa unahama kama ulivyo kwenda kwenye majukumu ya timu ya taifa.

David Seaman, Lee Dixon, Martin Keown, Tony Adams (Mr. Arsenal)na huyo Winterburn ambaye hakuwepo kikosini. Eti leo hii mabeki wa kiingereza ni akina Smalling na John Stones. Aibu iliyoje.

Hakika nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.
 
Shukrani mkuu.
Nilifanya kumquote mtu, Yule wa mwanzo kabisa bila shaka ni mjomba ray parlour!!

Bila shaka hapo winterburn alikuwa sub!!
 
Huyo mwafrika ni Parick Vieira
Hapo alikuwa bado kijana sana.

Yeye na Thiery Henry nimewafahamu miaka ya 2005, zaidi 2006 kwenye FIFA WC(German). Nilikuwa nishakariri upara wa Henry ila picha hii ya zamani akiwa na nywele imenifanya nisimtambue
 
Unawazimu wewe eti Liverpool walikuwa vibonde ,yaani na siku hizi ilivyokuwa rahisi kupata historia bado hujui soka la England jifunze kutumia hata Google

Arsenal kuna kipindi walikuwa wazuri na ndio ulikuwa wakati wao ukawapenda basi hiyo isiwe sababu ya kuwadharau Liverpool the father of English soccer [emoji460] the conquer of Europe

Dogo, father of English soccer ni Man Utd au na hii pia unataka nikufundishe? Toka mwaka 90 Liverpool haijachukua kombe la Uingereza (Ligi Kuu), na mwaka huu wanaishia kapa tena.
 
Ray parlour huyu mtu alikuwa mpambanaji sana, dah

Namkumbukaga kwa goli aliwachambanga Chelsea fainal FA cup 2001

Ndio mpiganaj ninayemkubali arsenal
 
Back
Top Bottom