Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
DJ,Sasa mkuu wewe umeisoma historia ya Tanganyika na Mimi pia nimeisoma na kwa kuwa vitabu vyenye ithibati ya serikali kutumika shuleni na vyuoni havijawatambua wengi Wa waasisi vipi vitaonyesha uhusiano wao na mwl!?
Ndo maana nikakuuliza wewe malenga unidadavulie.
Kitabu kilichotofautiana na vitabu vingine vya historia ya uhuru wa Tanganyika
ni kitabu nilichoandika kuhusu maisha ya Abdul Sykes.
Soma kitabu hicho kipo sasa miaka 20.