Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
DJ,Sasa mkuu wewe umeisoma historia ya Tanganyika na Mimi pia nimeisoma na kwa kuwa vitabu vyenye ithibati ya serikali kutumika shuleni na vyuoni havijawatambua wengi Wa waasisi vipi vitaonyesha uhusiano wao na mwl!?
Ndo maana nikakuuliza wewe malenga unidadavulie.
Mohamed Said: MAALIM ABDULRAHMAN AHMED NA KITABU CHA ABDULWAHID SYKESSasa mkuu wewe umeisoma historia ya Tanganyika na Mimi pia nimeisoma na kwa kuwa vitabu vyenye ithibati ya serikali kutumika shuleni na vyuoni havijawatambua wengi Wa waasisi vipi vitaonyesha uhusiano wao na mwl!?
Ndo maana nikakuuliza wewe malenga unidadavulie.
Wapigania Uhuru wengi naona ni waislamu(sina mrengo wa kidini But truth be told) lakin cha kushangaza baba wa Taifa mkiristo,aise hawa jamaa janja janja kama Mataifa yao yanavyosadifu,mf;USA,ISRAEL,RUSIA nk.
Sijawaza nimewaziwa.