Kutoka mbugani serengeti

Kutoka mbugani serengeti

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Unaambiwa bob killer ambaye ni muuaji mkuu katika kundi la seven brothers waliotekeleza mauaji ya bob junior amemchumbia mtoto wa bob junior.

Na unaambiwa kwakua binti huyo wa bob junior hajafikia umri wa kupandwa bob killer ataendelea kumuangalia mpaka atakapofikisha umri wa kupandwa.

NB:swaum ya leo sio kali sana tofauti na ya jana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2563895
 
Back
Top Bottom