Usisahau Maili Moja hadi Madafu pale Mlandizi.....View attachment 3232757
Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10, kilometres 10 kuna vituo 13 vya kuuzia petrol, na bado
Ina maana kuna faida njia nzuri kuw3ka mtaji wako uzunguke taratibu lakini uhakika....sio bure...tujiongeze tufungue zile za kawaida nje ya mji huko maisha yasonge ....kuna watu wanaandika BP humu....wata guide najua ukiwa 100m unaanza...Hiyo inafahamika kwa Morogoro road. Hì ni ya Bagamoyo road
Si ndiyo maendeleo?Au ulitakaje?View attachment 3232757
Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10, kilometres 10 kuna vituo 13 vya kuuzia petrol, na bado
Its seems haviko controlled, na hii ni dalilimbaya sanaKweli watu mna akili fupi!! Yaani vituo vya mafuta 13 ndani ya kilometres 10 ndiyo maendeleo??
Mamlaka huwa zinalala? Kuna harufu ya rushwaUshapita njia ya Vingunguti - Mnyamani kutokea Barakuda, haizidi hata 6km lakini kuna utititiri wa Petrol Stations na mbaya zaidi vinajengwa katikati ya makazi ya watu.
Ipo siku litakuja tokea janga, watu watatafutana.Mamlaka huwa zinalala? Kuna harufu ya rushwa
Tatizo ni kwamba , gov yetu heua haina plan until yatakapotokea.Ipo siku litakuja tokea janga, watu watatafutana.
Bahati mbaya ikatokea moto kwenye hayo makazi yaliyo mkabala na hizo petrol station, vuta picha hilo bomu lake kuzingatia kuna under ground reservoirs za mafuta.
100m inatosha kweli pamoja na kiwanja, pampu ujenzi wake pia?Ina maana kuna faida njia nzuri kuw3ka mtaji wako uzunguke taratibu lakini uhakika....sio bure...tujiongeze tufungue zile za kawaida nje ya mji huko maisha yasonge ....kuna watu wanaandika BP humu....wata guide najua ukiwa 100m unaanza...
Tafuta vya kutafutaa....jipange uanze mdogo.mdogo100m inatosha kweli pamoja na kiwanja, pampu ujenzi wake pia?