Kutoka Mianzini - Mapinga km ni 10, kuna vituo 13 vya petrol station

Wanatakatisha fedha kupitia huu ujenzi wa vituo vya mafuta.
 
Kama serikali inakopa kwa miradi yake,,hawa jamaa wanapata wapi hela za kujenga mapetrol stationi kwa wingi kiasi hiki?
 
Uhitaji wa huduma ni kubwa kulingana na uwingi wa vyombo vya usafiri vitumiavyo mafuta.
 
Sawa
 
tunaweka mafuta ya jero jero after 1km
 
Ulitaka kuwe na vituo vya kulelea watoto wadogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…