Kutoka misa Saint Joseph Cathedral: Kuhusu kusherehekea kuisha kwa Covid19

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,188
Padre amewataka waamini waendelee kufuata maelekezo kama yalivyotolewa na Waziri wa Afya tangu awali.

Na kwamba kama Kanisa bado hawajatoa tamko wataendelea hivyo mpaka uongozi utakavyotoa malekezo zaidi, Pia amesisitiza waamini wawe makini Corona bado ipo.
 
Huo ndiyo ukweli mchungu! Corona bado ipo ipo sana. Na kwa huu utaratibu mpya wa kufichiwa taarifa, ndiyo kwanza wananchi tunatakiwa tuongeze umakini kweli kweli.
 
Hiyo chizi atakayefuata ushauri wa mtu kama Makonda aisee kichwani atakuwa taabani sana. Unaanzaje kufuata ushauri wa kipumbavu kama ule? Emb tumieni akili walau za darasa la kwanza kwa jambo hili zitakupa muongozo.
 
Mimi nilijiandaa kuparty nimeshtuka sana kusikia kumbe bado ipo!
Hiyo chizi atakayefuata ushauri wa mtu kama Makonda aisee kichwani atakuwa taabani sana. Unaanzaje kufuata ushauri wa kipumbavu kama ule? Emb tumieni akili walau za darasa la kwanza kwa jambo hili zitakupa muongozo.
 
Hiyo chizi atakayefuata ushauri wa mtu kama Makonda aisee kichwani atakuwa taabani sana. Unaanzaje kufuata ushauri wa kipumbavu kama ule? Emb tumieni akili walau za darasa la kwanza kwa jambo hili zitakupa muongozo.
Ushauri wa Makonda upo kiroho, unaeuchukulia kimwili huwezi kumwelewa!
 
.

Jr[emoji769]
 
Angalau Kanisa Katoliki linaongozwa na wasomi na mambo yake pia huwa ya kisomi ukilinganisha na makanisa ya akina bashite. Mungu yupo, hapendi ujinga, chukua tahadhari, mwombe lakini pia tumia akili na rasilimali alizokupa, usimjaribu Bwana Mungu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…