johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katoliki hawategemei sadaka kuendesha maisha kama alivyo Gwajima!Padre amewataka waamini waendelee kufuata maelekezo kama yalivyotolewa na Waziri wa Afya tangu awali.
Na kwamba kama Kanisa bado hawajatoa tamko wataendelea hivyo mpaka uongozi utakavyotoa malekezo zaidi, Pia amesisitiza waamini wawe makini Corona bado ipo.