Kutoka misa Saint Joseph Cathedral: Kuhusu kusherehekea kuisha kwa Covid19

Katoliki hawategemei sadaka kuendesha maisha kama alivyo Gwajima!
 
Katoliki hawategemei sadaka kuendesha maisha kama alivyo Gwajima!
 
Tena?? Msijisahaulishe alishawahi kutabiri kupatikana kwa Roma( kabla ya jumapili ile)

Ana karama ya utabiri kumbukeni
Kumteka amemteka yeye alafu anakuja kutabiri nini? Yani nimteke mtu alafu siku ninayotaka kumwachia niseme kuwa atapatikana siku fulani.

Halafu umuite Nabii au?
 
Labda anajua kama alivyojua🤷🏼‍♀️
Pengine anatumia mbinu zilezile, jamaa inaonekana hukubali kabisa kipaji cha rc

Kumteka amemteka yeye alafu anakuja kutabiri nini? Yani nimteke mtu alafu siku ninayotaka kumwachia niseme kuwa atapatikana siku fulani.

Halafu umuite Nabii au?
 
Hiyo chizi atakayefuata ushauri wa mtu kama Makonda aisee kichwani atakuwa taabani sana. Unaanzaje kufuata ushauri wa kipumbavu kama ule? Emb tumieni akili walau za darasa la kwanza kwa jambo hili zitakupa muongozo.
Leo ni jpili kasema mchiachie
 
Sema tatizo corona inaisha bila kuondoka na watu waovu wasio na faida duniani imechukua wenye faida duniani.Watu waovu ni wagumu Sana kufa kuliko watu wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…