Kutoka Moyon!

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".
Ahsanteni.

Utakuta mpenz wako anakuambia nakupenda kutoka moyoni, moyo unaniuma sana
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo"
Ahsanteni.

Sawa mkuu.

amekuelewa mkuu ila sijui ka ataufanyia kazi.....................huh

tatizo tunapenda kufanya mambo kwa mazoea. Reasoning and judgement zote zinafanyika kwenye ubongo, moyo unahusika vip hapa?

Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".
Ahsanteni.
Hizo ni lugha tu mkuu.

!"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""':::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::jf tusomeni alama za nyakati

hizo funga na fungua semi zina maanisha nini..

Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".
Ahsanteni.

Mwe hili nalo swali.........mie wakati mwingine najisikiaga moyo unaniuma!!! Kifuani upande wa kushoto, nashindwa kupumua vizuri yaani mradi tu hali si hali! sasa sijui ni kwa kuwa napeleka ujumbe kwenye ubongo kwana kuwa hali si njema kati yangu na mpenzi wangu?? Hili swali ni la msingi sana

Nakupenda kutoka ubongoni lol!! Hili nalo ni la kureason kwakweli dah!

tatizo tumeshaamini kuwa mapenzi yanatoka moyoni.

Ubongo huproces ila Hata ivyo huwez sema nakupenda toka ubongoni, kwanza hata matamsh yake hayavutii. Ubongo na moyo ni upande 2 za same coin so kusema nagukunda toka mtimani inanoga zaidi

si lile limoyo linalochorwa kama alama ya love limetuponza

IBWE ukipata clues za kutosha kuwa mpenzi wako anakucheat au ulimefumania kabisa je kinachouma ni ubongo au moyo? Labda tuanzie hapo.

IBWE ukipata clues za kutosha kuwa mpenzi wako anakucheat au ulimefumania kabisa je kinachouma ni ubongo au moyo? Labda tuanzie hapo.

huwa mambo yote yanafanyika kwenye ubongo. Maumivu tunayahisi moyoni kwakuwa tayari tumeshaamini hivyo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…