Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta mpenz wako anakuambia nakupenda kutoka moyoni, moyo unaniuma sana
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo"
Ahsanteni.
umeelewa ujumbe niliotaka ufike?
amekuelewa mkuu ila sijui ka ataufanyia kazi.....................huhumeelewa ujumbe niliotaka ufike?
Hizo ni lugha tu mkuu.Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".
Ahsanteni.
umeeleweka mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!umeelewa ujumbe niliotaka ufike?

!"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""':::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::jf tusomeni alama za nyakati
best! ni alama za nyakati!!hizo funga na fungua semi zina maanisha nini..
umeelewa ujumbe niliotaka ufike?
Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".
Ahsanteni.

Mwe hili nalo swali.........mie wakati mwingine najisikiaga moyo unaniuma!!! Kifuani upande wa kushoto, nashindwa kupumua vizuri yaani mradi tu hali si hali! sasa sijui ni kwa kuwa napeleka ujumbe kwenye ubongo kwana kuwa hali si njema kati yangu na mpenzi wangu?? Hili swali ni la msingi sana

Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"

je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.

Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo".

Ahsanteni.

IBWE ukipata clues za kutosha kuwa mpenzi wako anakucheat au ulimefumania kabisa je kinachouma ni ubongo au moyo? Labda tuanzie hapo.