Maandamano yako palepale. Aftwr all maandamano yamefanikiwa, kama nchi imewekwa.lock down 24hrs, hayo ni mafanikio makubwa.Kila tarehee zinazopangwa kumbukeni mnatumia pesa za kujilinda ili msitoke madarakani.
Hapo hapo uchumi una simama kwa mda kuogopa maandamano.
Hakuna balozi,kampuni wala serikali ambazo zitaweza kufanya kazi maana tarehee ikitolewa mnasimamisha kazi.
Simlisema Leo mnakiwasha je mmefanikiwa ?Maandamano yako palepale. Aftwr all maandamano yamefanikiwa, kama nchi imewekwa.lock down 24hrs, hayo ni mafanikio makubwa.
Pili the world is kept informed of the fragile situation in Tanzania!
Umeona walioshinda barabarani ni wakina nani?.
Nani anayemuohogopa mwenzake sasa
Mbona mnabadilisha sera si mlisema mtakuwa ikulu Leo na kiongozi wa serikali ya mpito atatangazwa.Maandamano yako palepale. Aftwr all maandamano yamefanikiwa, kama nchi imewekwa.lock down 24hrs, hayo ni mafanikio makubwa.
Pili the world is kept informed of the fragile situation in Tanzania!
Hilo haliwezekani, tudai mambo mengine ila sio hilo la kupindua serikali.Mbona mnabadilisha sera si mlisema mtakuwa ikulu Leo na kiongozi wa serikali ya mpito atatangazwa.
Kwani KIMARA kuko salama!?Simlisema Leo mnakiwasha je mmefanikiwa ?
Shida ya kupaniki mpaka mnashinda kuomba watu wasitoke nyie ndio wajingaKwa hiyo hamtaki miili yenu tena , serikali pesa inakusanya hakuna mtu anatoa pesa zake . Wanakusanya pesa za kulipana kutoka kwenu🤣🤣wajinga nyie hamna kazi za kufanya .
Mmefanikiwa wapi maana mngetoka mkaona ,jitu kama mbwa linatoka kwao huku kuja kuandamana Dar ,likifa linapelekwa kwao kijijini.
Hivi kweli eti mtu anajiita dangwa anakushaur utoke ..tunaacha kupeana michongo ya pesa tunamsikiliza dangwa 😂Anayemuoga mwenzake ni yule anayetumia na Dangwa
Unauliza nani anayeumia?Ninyi Gen Z kwani mnatumia Nini kufikiri? Hivi mkifanya hivyo yaani serikali ikose mpato au mapato yaende ulinzi then anayeumia nani?
Pole sana mkuuUnauliza nani anayeumia?
Potelea mbali, hilo hakuna anayejali... kikubwa hii serikali haramu ikose pesa za kujiendesha ikiwemo kuwalipa nyie machawa.
Tunajua liberation ina gharama zake, na watu wamejiandaa kwa hilo.
Hesabu hizi huwezi kuzielewa. Utalaumu bureNinyi Gen Z kwani mnatumia Nini kufikiri? Hivi mkifanya hivyo yaani serikali ikose mpato au mapato yaende ulinzi then anayeumia nani?
Hatujafikia bado point of no return, ikifika hapo kila mtu atatoka bila hata kuanzisha thread zaidi ya 100 za hamasaUnauliza nani anayeumia?
Potelea mbali, hilo hakuna anayejali... kikubwa hii serikali haramu ikose pesa za kujiendesha ikiwemo kuwalipa nyie machawa.
Tunajua liberation ina gharama zake, na watu wamejiandaa kwa hilo.
Kila tarehe zinazopangwa kumbukeni mnatumia pesa za kujilinda ili msitoke madarakani.
Hapo hapo uchumi unasimama kwa muda kuogopa maandamano.
Hakuna balozi, kampuni wala serikali ambazo zitaweza kufanya kazi maana tarehe ikitolewa mnasimamisha kazi.