Bila Mo Simba haina kitu. Statement kubwa sana hii.
Kwa wenye akili lakini. Kwa oyaoya, haina maana.
Siyo mimi ni Aussems amesema.Hajui kwamba simba ilikuwepo kabla Mo hajazaliwa, aache dharau, simba ni zaidi ya mtu, hi itakuwa ndio sababu kubwa ya kupigwa zengwe aondoke.
Makocha dunia nzima huwa wanakuwa na wachezaji mazoezini lakini huwa wanafukuzwa na ambao hawawi na wachezaji mazoezini.Teh!! Mkuu kocha si anakuwa nao mazoezini hao wachezaji na yeye ndo anajua hali zao vizuri. Wewe ni daktari wa timu? Kama ndio basi Aussems alichemka.
Km ilikuwepo kabla ya Mo kilichowafanya wasijenge uwanja ni NINI?Hajui kwamba simba ilikuwepo kabla Mo hajazaliwa, aache dharau, simba ni zaidi ya mtu, hi itakuwa ndio sababu kubwa ya kupigwa zengwe aondoke.
wanaotaka makocha wa bei rahisi ni Yanga halafu damu ya njano haiwezi kuja msimbaziNaishauri klabu yangu ya Simba imuajiri Fred Felix Minziro awe kocha mkuu.
Faida yake ni rahisi tu kumuingilia na kumpangia kikosi nani aanze nani asianze, mshahara utakuwa chini kidogo tofauti na kuajiri mzungu.
Pia CEO Senzo afukuzwe Simba, maana haina maana kuwa na mtendaji mkuu mwenye taaluma na uzoefu mkubwa ktk soka ilhali bado tuna mambo ya uswahili uswahili kama tuliyomfanyia Aussems. Napendekeza Haji Manara apandishwe cheo kuwa CEO mpya.
Ulikuwepo wakati wanampangia kikosi. kama walikuwa wanampangia vikosi iweje asifiwe kwa kufika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika.Dunia gani kocha anapangiwa kikosi?
Km ilikuwepo kabla ya Mo kilichowafanya wasijenge uwanja ni NINI?