shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Hajui kwamba simba ilikuwepo kabla Mo hajazaliwa, aache dharau, simba ni zaidi ya mtu, hi itakuwa ndio sababu kubwa ya kupigwa zengwe aondoke.
Bila Mo Simba haina kitu. Statement kubwa sana hii.
Kwa wenye akili lakini. Kwa oyaoya, haina maana.