Kwann unasema hivyo? Acha dharau MtarbanBila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Kwann unasema hivyo? Acha dharau Mtarban
ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharauSiyo dharau Mkuu, Mimi nimesema ukweli tu
Wewe rahisi sana kuibiwa historia yake amekua beki 3 na bar maid Tegeta hiyo seal labda ufafanue ya wapiMtoto sealed huyo.. unadhani ben pol ni mjinga mjinga
Ukimaindi natuma tena.
Wewe rahisi sana kuibiwa historia yake amekua beki 3 na bar maid Tegeta hiyo seal labda ufafanue ya wapi
Ndio ufahamu, usiwaamini sana wasanii unadhani mtu mjanja mjanja kuitwa msanii anaonewa?Sikulifahamu hilo mkuu
Mtoto sealed huyo.. unadhani ben pol ni mjinga mjinga
Ukimaindi natuma tena.
Kwani wanawake wakali ni wepi?. Ebitoke kajiona mkali ndiyo maana kamchomoa huyo hata wewe angekuchomoa tu ila kaona huna inshu.Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Weka picha ya msichana unaetoka naye na kama hautojali na ya Dada yako pia tufanye ulinganifuBila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Mmh hapana ! Mapenzi ya kweli hayachagui wala kubaguaBila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.