Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

acha wivu ww waache na maisha yao kwan we wanakuzuia nn, wabongo bana. wamependana wengine huku wengine wanaumia na kutoka mapovu
 
ebitoke unamfananishaa na dada ako yupi.manake dada zako hata hawatizamiki yupi anauefanan na ebitoke achaa dharau ebitoke ana ubayaa gani??watu wengine bwana.kwanza huyo ben naye hana lolote mchicha mwibaa tu tunomjuaa huwa twacheka kwa dharau

Dada zangu hata wakiwa na sura mbovu huwezi kuwafananisha na Ebitoke. ebitoke mbovu ile mbaya
 
acha wivu ww waache na maisha yao kwan we wanakuzuia nn, wabongo bana. wamependana wengine huku wengine wanaumia na kutoka mapovu

hawajapendana Bali ebitoke kampenda Ben ingawa Ben najua hakuwah kumfikiria ebitoke, lkn kwa kuwa hana swaga ameona atumie hiyo fursa
 
hawajapendana Bali ebitoke kampenda Ben ingawa Ben najua hakuwah kumfikiria ebitoke, lkn kwa kuwa hana swaga ameona atumie hiyo fursa
Mapenzi yyte lanzima yupo aliyeyaanzisha sema ww umekalili. Kua nilazima mwanaume ndo auaanzishe ayo mapenzi
 
One man food is another man poison

Tunaishi katika ulimwengu wa ajabu sana.....ulimwengu ambao kila mtu anataka lifanyike lile linalompendeza yeye....bila ya kujali matakwa ya wengine.....ni ulimwengu wa kizazi chenye genes za udikteta.....
 
Mtoa mada akili zako ni fupi unakariri maisha Ebitoke ana ubaya gani ? Huo ni mtizamo wako maana hata mkeo au demu wako pia nae watu wanasema mbaya kweli .Pia hakunaga mwanamke mbaya ni matunzo .
 
Bwana Mungu akamtafutia akamtafutia wakufanana naye..... Benitoke na ebitoke wanafanana
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Kutoka kwenda wapi
 
hawajapendana Bali ebitoke kampenda Ben ingawa Ben najua hakuwah kumfikiria ebitoke, lkn kwa kuwa hana swaga ameona atumie hiyo fursa
Uzuri au ubaya,ni mtazamo wa mtu binafsi,mzuri kwako,mbaya kwa mwingune,and the viceverser,is true.
We wamuina hafai,lkn kwa wengine,anafaa sana.
So ndio dunia,na ndio maisha,
Utofauti huu ndio neema,na pambo za ulimwengu.Tuko tofauti ili kuipendezesha dunia.
Ni vizuri kuheshim maamuzi ya kila mtu,ktk mahusiano
Kwann unasema hivyo? Acha dharau Mtarban
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Kwanza kabisa maneno yako na bandiko lako linaonyesha hujaoa na huna mpango huo hivi karibuni na pia wewe ni limbuken wa maisha
Ndugu yangu kwenye swala la mke wa kuoa ambae atakulelea watoto wako wanaume wanaojielewa wanaangalia zaidi ya uzuri wa sura na tabia wanachooangalia zaidi ni tabia , heshima , hekima , vision , unyenyekevu , uvumilivu, staha , upstair pako vp, uwezo wa kubring something on a table , msikivu na mwenye upendo wa kweli sio hao unaowaita warembo ambao wengi wao ni pangu pakavu tia mchuzi ata kichwan hakuna kitu wanawaza kwenda nextdoor
 
2c284e559044cda17da02d5b51a62f7a.jpg
[/IMG]

My ebitoke
 
Back
Top Bottom