Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Kwani kuwa beki tatu ni laana..mbona yule dada alikuwa beki tatu akawa mtangazaji ,sasa ana media company kaolewa na watoto nA yule kiongozi wa chadema kanda ya darWewe rahisi sana kuibiwa historia yake amekua beki 3 na bar maid Tegeta hiyo seal labda ufafanue ya wapi
Acheni dharau jamani..
Hivi mnajuwa kuna wanawake kama...sophia simba ..hawafichi kusema walishaawahi kuwa bar maid wa..kuuza pombe za kienyeji,dar na moro kabala ya kujiendeleza kuwa.secretary na baadaye wakarudi darasani kusoma hadi..kuwa manasheria ,diwani,waziri na kiongozi wa wanawake
Unayedharau beki tatu na bar maid ushawahi kuuliza mama yako alipitia kazi..zipi..kabla..ya kuolewa?