Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Weka picha yako ili tuifananishe na ya Ebitoke ukiwa umemzidi Ebby kwa uzuri basi tunamtoa tunakuweka ww, lol,

Otherwise, acha kuwapangia watu maisha ya kuishi.
 
You are right

Wanasema kuna wanawake wa aina mbili.

1. Wenye ashiki za karibu
2.wenye ashii za mbali au kutafuta


Mara nyingi wanawake wazuri sana au wanaojiona..wazuri wana ashiki za karibu ..wapo ambao hawawezi kulala bila kuona..mwanaume au mwaanaume akimkaribia hamu inakuja mapema.

Hawa ukikutana naye enyoy naye lakini sii..wa kuoa kwakuwa hataweza kukuvumilia hasa..kama ni mwanaume mtafutaji ambaye unaweza kupotea hata mwezi.
Ukitaka kumuoa huyu lazima...uwe na.na muda naye na.ukitoka jua lazima...usaidwe hata na.house boy au..dereva
Ndio maana...watu hushangaa sana wanawake wazuri sana lakni hawaolewi zaidi labda...atazaa nao..pia hawapendi..kuolewa

Kundi la wanawake wenye shiki za mbali hawa.sio wengi ...na ni..wagumu sana..kuwapata ,na hata ukimpata hana makuu.,sio macho juuu ...kufanya naye mapenzi..hata kama ni mkeo..lazima...kumuandaa na pia wanaridhika mapema...
Kwa mwanaume ambaye hajaoa ukibahatika kupata mwanamke wa...aina..hii..muoe haraka...maana huwa...wanatafutwa ..
Hasa kama ni muhangaikaji una.uhakika wa...msaidizi mwema
Nimekuekuelewa sana mkuu
 
Mtoa mada hii. Fact: unaniaka chini ya 25 na hujaoa... Utoto unakusumbua. Achana na maisha dogo. Watu tunatafuta amani tunaoa hata Malaya kabisa.
 
Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuwa na swags kwa mademu wakali wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.

Kwa ' mbaaaaaaliiiiii ' sana kila nikiangalia picha za hawa ' Wawili ' nauona ' Unafiki ' na ' Uwongo ' uliotukuka baina yao. Hata hivyo ' Kisaikolojia ' Ben Paul anaonekana hata ' Mademu ' zake huko nyuma walikuwa ' wakimpelekesha ' mno kwani ni ' dhaifu ' sana katika Mapenzi. Wanaume wa aina ya Ben Paul ndiyo huwa wanaongoza ' Kubanduliwa ' Mademu zao na ' Wajanja / Masela '. Mwanaume hutakiwi kuwa ' nyoro nyoro / sleki sleki / mayai mayai / mlaini laini / mtoto wa Mama ' kama Ben Paul.
 
Hiyo ndiyo maana halisi ya attention kwa wasanii... Keshafanikiwa kuwaaminisha kile anachotaka muamini... Big up kwa Ben Pol...


Cc: mahondaw
 
Mawazo kama haya ndio yanayofanya watu wengi wasidumu kwenye mahusiano au ndoa.....

Mawazo hasi huwa ni mawazo yenye kubomoa siku zote......mapenzi hayajengwi kwenye mawazo hasi bali mawazo chanya......kwa kuwa maawazo yetu ya kila siku yana mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku......

Kwanini usiwaombee waendelee kuwa pamoja kwa kuwa wanapendana....badala unataka kuwa shuhuda siku wakiachana ili unabii wako utimie......wewe ndio ungekuwa Ebitoke ungrfurahia kuona mtu mwenye mawazo kama haya juu ya mahusiano yako....!!!?

3b7ffabae10c5e35877cf08fcbdd30da.jpg
d6b7fb9979a931523f9b96247b2cc98c.jpg
27d9c6a4eb237b87a5db5a3e1cf66b24.jpg
Wanapendana ama ebitoke ndo anampenda Ben Pol?..Ben Pol si kazaa na mwanamke mwingine.. Eh em niwaache miee...ila haya mapenzi ya mwanamke kufosi kingi sio mapenzi... Wanaume kwani hamjulikani?!.
 
Back
Top Bottom