Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Kutoka noah mpaka balimi nne nne,Acacia Mungu anawaona, mpaka hizo balimi mnataka kutunyima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka noah mpaka balimi nne nne,Acacia Mungu anawaona, mpaka hizo balimi mnataka kutunyima?
Mkuu endelea kuwa mvumilivu..Unawaweza ukabahatika ukapata Balimi ya baridiiiiiiiii ili kupooza machungu.Daaaaah nimesononeka sana maana nishachagua na rangi kabisa
Nikaweka na budget ya mambo mengine chenchi ikibaki
Wapumbavu sana
HahahahaaMkuu endelea kuwa mvumilivu..Unawaweza ukabahatika ukapata Balimi ya baridiiiiiiiii ili kupooza machungu.
Yan wewe akili zako unazijua mwenyeweKutoka noah mpaka balimi nne nne,Acacia Mungu anawaona, mpaka hizo balimi mnataka kutunyima?
Hiyo ndo shida ya kupambana na Lisu,watu wanaongea vitu wakati hawajakubaliana. Sasa hii aibu ni balaa kama nchiNasikia sio balimi tena,ni pipi kijiti moja moja[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]