Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kwenye mabadiliko huwa nabadilika kimuundo, ofcourse kuna vitu kadhaa vitabadilika kimafunzo (si mafunzo yote), sometiems even structure ya vyeo.Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!
Najiuliza wataanza upya mafunzo?Na Hawa waliopo madarakani police watabadilika au wataachishwa kazi?Mazoea mabaya!
Ahsanteni sana .
Wakianzisha hiyo police service, waajiriwe wasomi wa kuanzia stashahada, shahada, nk. Halafu hawa vilaza wote wa sasa warudi mtaani kufanya kazi ngumu za kuchimbua mitaro ya barabara.Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!
Najiuliza wataanza upya mafunzo?Na Hawa waliopo madarakani police watabadilika au wataachishwa kazi?Mazoea mabaya!
Ahsanteni sana .
Watahitajika kulinda mabenki, viongozi,na escort za baadhi ya makampuni ya mauzo na Fedha!Wakianzisha hiyo police service, waajiriwe wasomi wa kuanzia stashahada, shahada, nk. Halafu hawa vilaza wote wa sasa warudi mtaani kufanya kazi ngumu za kuchimbua mitaro ya barabara.
Safi kabisa. Huko ndiyo kunawafaa.Watahitajika kulinda mabenki, viongozi,na escort za baadhi ya makampuni ya mauzo na Fedha!
Simbachawene alipolizungumzia pia ya kuvaa kininja,watawala wakamtoa!Kwenye mabadiliko huwa nabadilika kimuundo, ofcourse kuna vitu kadhaa vitabadilika kimafunzo (si mafunzo yote), sometiems even structure ya vyeo.
Hii kitu simbachawene alizungumzia
Baadhi ya watu maarufu kutoka upinzani wamezungumzia
Kweli ila tutaona!Italalamikiwa Tena kuwa SI hii ya nec kuwa inec!Hilo litakuwa jina tu kama ilivyobatizwa NEC na kuwa INEC huku muundo na madudu ni yaleyale.😀
Usisahau na kufundishwa mbwa,kupanda farasi,gwaride mkuu tukikuapisha nk!Safi kabisa. Huko ndiyo kunawafaa.
Ni upumbavu wa grade 1 tuu. Linabadilishwa jina ila matendo ni yale yale. Mbona Tume ya Uchaguzi ilibadilishwa jina vipi utendaji na wizi wa kura vilibadilika? Tena ile ya awali ilikuwa afadhali kuliko hii iliyobadilishwa jina.Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!
Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!
Ahsanteni sana .
Sio Tanzania, maana bila Polisi hii ya sasa CCM haipo.Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!
Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!
Ahsanteni sana .
Usiwasikilize hawa. Wakileta mabadiliko chanya, CCM inakufa kwani haitakuwa na chombo cha kuibeba. By the way polisi inatakiwa kubadilishwa muundo kabisa. Tuwe na local polisi eg kila mkoa uwe na local polisi yake na polisi watokane na jamii husika. Halafu kuwa na polsi ya kitaifa ambayo ita deal na mambo ya kitaifa na pale inapobidi au kuombwa ndiyo isaidie local polisi.Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!
Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!
Ahsanteni sana .
Wamejibu watalifanyia KAZI!Sio Tanzania, maana bila Polisi hii ya sasa CCM haipo.
Kweli CCM itakufa:,SI police wote wanaipenda CCM!Usiwasikilize hawa. Wakileta mabadiliko chanya, CCM inakufa kwani haitakuwa na chombo cha kuibeba. By the way polisi inatakiwa kubadilishwa muundo kabisa. Tuwe na local polisi eg kila mkoa uwe na local polisi yake na polisi watokane na jamii husika. Halafu kuwa na polsi ya kitaifa ambayo ita deal na mambo ya kitaifa na pale inapobidi au kuombwa ndiyo isaidie local polisi.
Kwa Maana hiyo ni kiinimacho!Ni upumbavu wa grade 1 tuu. Linabadilishwa jina ila matendo ni yale yale. Mbona Tume ya Uchaguzi ilibadilishwa jina vipi utendaji na wizi wa kura vilibadilika? Tena ile ya awali ilikuwa afadhali kuliko hii iliyobadilishwa jina.
"Kanzu mpya lakini shehe ni yule yule"