Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lininae atakufa tuu!
Sure mkuu...namkubali sana ni kiongozi mzurMkuu kama uko moyoni mwangu vile. Huyu jamaa ni hataree sio hapa tz tulikua tunachekeana kizembe tuu na kwenda kuuza sura nje ya nchi huko halafu nchi inadorora tuu. Mimi napenda mwanaume wa kweli hata kama wanasema wewe ni muuuaji basi unachokisimamia kinaonekana. Embu itizame Rwanda ilivyosonga mbele?? utaamini walitoka kuchinjana 95 kweli? cheki nchi yenyewe haina hata resource za kutosha lakini PK kaisimamisha na saivi amani ipo nchi nzima isipokua kwa wale wapiga dili na wanaopenda matumbo yao ndo anawatupilia mbali.
PK ni jembe bana hili halina ubishi. Natamani siku moja niwe kiongozi bora kama yeye anayeipenda nchi yake na kuifikisha mbali sio kama huku tz michosho tuu daily kuchekeanachekeana, kuzika halafu maendeleo hamna. pesa inaingizwa tumboni tuu kwa wakubwa na wanawake
achoshangaa kwanini wasijikite kuongelea mafanikio aliyoipa rwanda na badala yake wanaangalia negatiivity tuu?hivi kwanini rais kagame analaumiwa sana tena na watu kutoka nje ya Rwanda
Ww usipende kuishi kama kuku.Siku nyingine jitahidi kuwa na adabu na jifunze kujiheshimu. Kumuhusisha Mheshimiwa Rais wangu Mpendwa wa nchini kwetu Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame na ' mauaji ' hayo ya hao uliowataja hapo hujamkosea tu adabu yeye kama Rais bali umetukosea adabu na sisi Wanyarwanda wote na kama una busara tunakuomba utuombe radhi kwani nina uhakika ukiambiwa utoe ushahidi wa kina kabisa kuhusu uliyoyasema utakuwa huna. Kwahiyo kila Kiongozi anayekufa nchini Rwanda basi ameuwawa na Rais Kagame? Mkuu usitutafute Wanyarwanda halafu baadae ukaja ' kutulaumu ' kwani Sera yetu ni ile ile kuwa tumebarikiwa, tuna uwezo na tunaweza kupambana na adui yetu yoyote aliye popote na kwa muda wowote na kwa mbinu zote ili kuleta ustawi kwa nchi yetu ya Rwanda. Kila la kheri!
Usitishie nyau kwa mtu mzima wewe.Siku nyingine jitahidi kuwa na adabu na jifunze kujiheshimu. Kumuhusisha Mheshimiwa Rais wangu Mpendwa wa nchini kwetu Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame na ' mauaji ' hayo ya hao uliowataja hapo hujamkosea tu adabu yeye kama Rais bali umetukosea adabu na sisi Wanyarwanda wote na kama una busara tunakuomba utuombe radhi kwani nina uhakika ukiambiwa utoe ushahidi wa kina kabisa kuhusu uliyoyasema utakuwa huna. Kwahiyo kila Kiongozi anayekufa nchini Rwanda basi ameuwawa na Rais Kagame? Mkuu usitutafute Wanyarwanda halafu baadae ukaja ' kutulaumu ' kwani Sera yetu ni ile ile kuwa tumebarikiwa, tuna uwezo na tunaweza kupambana na adui yetu yoyote aliye popote na kwa muda wowote na kwa mbinu zote ili kuleta ustawi kwa nchi yetu ya Rwanda. Kila la kheri!
Usitishie nyau kwa mtu mzima wewe.
Kama hauelewi mauaji yanayifanywa na tawala za kiafrika, aheri ungefunga "kopo"lako.
Serikali inataasisi strong sana za kiupelelezi. Ikitaka kuufahamu ukweli kuhusu kadhia aliyopata raia fulani, huitwa mkurugenzi anayehusika na kuambiwa "kesho nataka nipate ripoti kamili kuhusu ukweli wa mauaji ya raia abc". Na lazima kabla ya kesho lazima ukweli wa kina huwa umepatikana.
Ukiona upelelezi haukamiliki na ukweli haufahamiki elewa wazi kuwa kuna mkono wa serikali.
Unaruhusiwa kubishi kwa kupayuka ukiambatanisha na vielelezo vya ku-support hoja yako. Hapo utaonekana unachokitetea kinaukweli.
Lakini hii ya kujenga hoja za blah blah ni kwa faida ya nani?
kuwa kama yeye lakini sio kuua kwa kweli, hiyo ndo silaha yake?Mkuu kama uko moyoni mwangu vile. Huyu jamaa ni hataree sio hapa tz tulikua tunachekeana kizembe tuu na kwenda kuuza sura nje ya nchi huko halafu nchi inadorora tuu. Mimi napenda mwanaume wa kweli hata kama wanasema wewe ni muuuaji basi unachokisimamia kinaonekana. Embu itizame Rwanda ilivyosonga mbele?? utaamini walitoka kuchinjana 95 kweli? cheki nchi yenyewe haina hata resource za kutosha lakini PK kaisimamisha na saivi amani ipo nchi nzima isipokua kwa wale wapiga dili na wanaopenda matumbo yao ndo anawatupilia mbali.
PK ni jembe bana hili halina ubishi. Natamani siku moja niwe kiongozi bora kama yeye anayeipenda nchi yake na kuifikisha mbali sio kama huku tz michosho tuu daily kuchekeanachekeana, kuzika halafu maendeleo hamna. pesa inaingizwa tumboni tuu kwa wakubwa na wanawake
Acha zako! Kagame the strong leader. Usipangie nchi jinsi ya kutawala.
1995: Journalist Manasse Mugabo disappears in Kigali; not seen again
1996: First post-genocide Interior Minister Seth Sendashonga and businessman Augustin Bugirimfura shot dead in Nairobi
1998: Journalist Emmanuel Munyemanzi disappears from Kigali; body spotted in city but not returned to family
1998: RPF MP and government intelligence chief before the genocide Theoneste Lizinde assassinated in Nairobi
Huu mtiririko unatisha kwa uhai na ustawi wa vyama vya siasa ndani ya nchi yake.
2000: First post-genocide President Pasteur Bizimungu's adviser, Asiel Kabera, shot dead in Kigali
2003: EX-RPF officer and top judge Augustin Cyiza and magistrate Eliezar Runyaruka disappear from Kigali; not seen again
2003: Opposition MP Leonard Hitimana disappears from Kigali; not seen again
2010: Ex-RPF officer Faustin Kayumba Nyamwasa shot and wounded in Johannesburg
2010: Journalist Jean-Leonard Rugambage gunned down in Kigali
2010: Reporter Dominique Makeli survives abduction in Kampala
2013;Exiled former Rwandan intelligence chief Patrick Karegeya has been apparently murdered in a Johannesburg hotel room, South African police say.
Mr Karegeya, 53, formerly head of Rwanda's foreign intelligence service, had lived for the past six years in South Africa, where he had been granted political asylum.