Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu.
Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa.
Hivi Rais Katoa wapi hizo PESA kama sio Kodi yangu? Hivi ikiwa Raisi kakopa PESA wakulipa ni nani kama sio Mimi na wewe na yule tunaolipa Kodi?
Kama anayetoa pesa ni Raisi, Bungeni mnapeleka bajeti Ili ijadiliwe na kupitishwa kwa sababu Gani?
Mheshimiwa Rais Samia, kemea unafiki huu unaendelea. Kataa viashiria vya kuabudiwa kama Mtangulizi wako.