Asee😂🤣🤣Wanatuona wananchi kama hatuna akili vile. Halafu kila siku matozo hayaishi. Wanaumia wengine, sifa za kijinga wanakuja kupewa wengine!!
Acha watu waongee ukweli wewe! How come hela za walipa kodi ziitwe hela za Rais?U-keyboard warriors
Kwani lini Magufuli aliwaambia watu waseme yeye ndio kafanya na si serikali? Enzi za Magufuli kila kosa na baya rais anahusika ila sasa hivi mabaya yote yanaishia kwa watumishi wake Samia tu yani Samia hawajibiki kwa lolote yupo kimya hata tukisia nchi imenzisha vita lawama zitaenda kwa jeshi ila Samia atabaki hana kosa.Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu.
Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa.
Hivi Rais Katoa wapi hizo PESA kama sio Kodi yangu? Hivi ikiwa Raisi kakopa PESA wakulipa ni nani kama sio Mimi na wewe na yule tunaolipa Kodi?
Kama anayetoa pesa ni Raisi, Bungeni mnapeleka bajeti Ili ijadiliwe na kupitishwa kwa sababu Gani?
Mheshimiwa Rais Samia, kemea unafiki huu unaendelea. Kataa viashiria vya kuabudiwa kama Mtangulizi wako.
Acha makasiliko Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana hasa sekta muhimu zinazotulenga wananchi direct amefanikisha huduma ya maji safi na salama nchi nzima pia amefanikisha umeme mpaka vijijini ameboresha elimu pia ameimarisha sekta ya afya. Najua unajua ila nakukumbusha tu kazi mamaKuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu.
Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa.
Hivi Rais Katoa wapi hizo PESA kama sio Kodi yangu? Hivi ikiwa Raisi kakopa PESA wakulipa ni nani kama sio Mimi na wewe na yule tunaolipa Kodi?
Kama anayetoa pesa ni Raisi, Bungeni mnapeleka bajeti Ili ijadiliwe na kupitishwa kwa sababu Gani?
Mheshimiwa Rais Samia, kemea unafiki huu unaendelea. Kataa viashiria vya kuabudiwa kama Mtangulizi wako.
Acha makasiliko watu tunamkubali mama amefanya mengi sana acha tumtaje tu kwakweliKwani lini Magufuli aliwaambia watu waseme yeye ndio kafanya na si serikali? Enzi za Magufuli kila kosa na baya rais anahusika ila sasa hivi mabaya yote yanaishia kwa watumishi wake Samia tu yani Samia hawajibiki kwa lolote yupo kimya hata tukisia nchi imenzisha vita lawama zitaenda kwa jeshi ila Samia atabaki hana kosa.
Kwahiyo upuuzi huwa mnaanzisha wenyewe, kuabudiwa na kutokukosea ni sifa na mmoja tu Mungu. Kama mlimpa Magufuli sifa ya kuabudiwa basi na Samia mmempa sifa ya kuwa kutokukosea hana mapungufu.
Kwani bila yeye kutoa izo pesa ingekuaje acha makasiliko mjombaUtasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa.
Hivi Raisi Katoa wapi hizo PESA kama sio Kodi yangu? Hivi ikiwa Raisi kakopa PESA wakulipa ni nani kama sio Mimi na wewe na yule tunaolipa Kodi?
Kama anayetoa pesa ni Raisi, Bungeni mnapeleka bajeti Ili ijadiliwe na kupitishwa kwa sababu Gani?[emoji1752][emoji2827]
Na anakwepa kuwajibika kwa mengi.Acha makasiliko watu tunamkubali mama amefanya mengi sana acha tumtaje tu kwakweli
Hili jambo limetolewa maelezo mara nyingi sana na Serikali Kwa nini wanasema hivyo ila hamuelewi sasa ni kuwaacha hivyo hivyo.Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu.