Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Niko hapa nasubiri mnyama afanye yake.. Ndala tulieni
Simba walishinda 2-1 achana na wachochezi wanaodai Prisons ilishinda. Wanalengo la kutugombanisha na Mzamiru[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
ni kweli mkuu wenzake wamenunua game zote na zile za mbeya city ;stand united nakadhaa alinunua sare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…