Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba walishinda 2-1 achana na wachochezi wanaodai Prisons ilishinda. Wanalengo la kutugombanisha na Mzamiru[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Niko hapa nasubiri mnyama afanye yake.. Ndala tulieni
Utabiri wako umekuwa wakizushi kama wa TB Joshua, nabii wa shetani.Ngoja nikatafute jezi ya Liverpool niibadili hii ya Simba. Sema kesho Yanga naye kitanuka.
Huo ugonjwa wa kusema yanga ananunua mechi alie waroga sijui yupo hai au amekufa!ni kweli mkuu wenzake wamenunua game zote na zile za mbeya city ;stand united nakadhaa alinunua sare.