Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo Simba wataniona mchawi Wallah!
Uwiiiiiiii nipeni raha Prisons [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Niko hapa nasubiri mnyama afanye yake.. Ndala tulieni
 
Jamii forum inaifanyia hujuma Simba, siangalii coment za humu tenaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiko wapiiiiiii?
Moto wa mabua haukeshi,hii ndio Simba halisi sasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo Simba wataniona mchawi Wallah!
Uwiiiiiiii nipeni raha Prisons [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Upenzi wako wa timu vizuri hujauficha, hongera
 
Upenzi wako wa timu vizuri hujauficha, hongera
Najiamini mkuu,huwa sifichi pande ninazozishabikia.
Nikipenda napenda na ninajitoa pamoja na kujivunia kwa kile ninachokipenda/kukishabikia.
Shukraan.
 
Prisons Mungu anawaona, mnawafanya nini mabingwa wetu wa mwaka huu.😎 πŸ˜΅πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…