Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamii forum inaifanyia hujuma Simba, siangalii coment za humu tenaaaaa.
Una la kusema mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]roho mbaya hiyo sasa
duuuhUna la kusema mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora siku yangu iishe vizuri maana nimeumia sana leo asubuhi.
Simba ameshalala mkuu,hana ujanja tena.Niko hapa nasubiri mnyama afanye yake.. Ndala tulieni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiko wapiiiiiii?
Moto wa mabua haukeshi,hii ndio Simba halisi sasa.
Upenzi wako wa timu vizuri hujauficha, hongera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo Simba wataniona mchawi Wallah!
Uwiiiiiiii nipeni raha Prisons [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mbona imekua siku mbaya namna hiiSimba ameshalala mkuu,hana ujanja tena.
Leo siku nzima kwako pressure inapanda pressure inashuka. Kamata mgaritumbo linaniuma jamaniiii
Najiamini mkuu,huwa sifichi pande ninazozishabikia.Upenzi wako wa timu vizuri hujauficha, hongera
Jamani poleni sana,hasa kama mlikuwa nami upande mmoja kwa mama HC,na haya matokeo tena...tumbo linaniuma jamaniiii
Mbona imekua siku mbaya namna hii
Ongeza ubani mkuu,mimi huku Dua'3 kwa sana.Bado tuu FT
Hela hazifanyi kazi siku zote, wengine wanazikataa.Prisons Mungu anawaona, mnawafanya nini mabingwa wetu wa mwaka huu.😎 😵😛