Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hapana.. itakuwa siku za MPAtakuwa mjamzitoo
Ya Raby [emoji120] [emoji120]Dakika ya 94
Utakuwa mjamzito,,,,,,,,,tumbo linaniuma jamaniiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii simba vp tena!!!!
Anyway ndio maisha mtani, ila tutarudi kwenye viwango veytu very soon na ndoo tunabeba mapemaaa😀Dakika ya 87/88 hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora umekuja maana nilikumiss mtani wangu wa ukweli.
AmeenYa Raby,naomba usikilize kilio changu mimi mwanao Kipenzi Nifah na Wanayanga wenzangu wote.
Wajua jinsi gani tumeteseka Ya Raby,tupe furaha nasi kama wengine.
Wape ushindi Prisons...Aamiyn.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
La kuhara au [emoji13] [emoji13] [emoji13]tumbo linaniuma jamaniiii
Huu ni udhalilishaji,usinitibulie furaha ya ushindi tafadhali.Hapana.. itakuwa siku za MP
Eti nini?Yanga mbona mnashadadia sana game ya Simba wakati haiwahusu
Endelea kujipa moyoLakn hata akifungwa na yule wa njano akishinda,,,!nani ataongoza ligi