Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Hio ndio shidabaada ya kubikiriwa juzi sasa simba ameanza uikichehche kila mtu anampa tu...tabia mbaya sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ndio shidabaada ya kubikiriwa juzi sasa simba ameanza uikichehche kila mtu anampa tu...tabia mbaya sana hii
Mifugo The FlopMavugo hakuwepo uwanjani au?
Huwa hatuongei kama mnavyoongea nyie, too muchKwani nyie ya Yanga hua inawahusu ?
wewe hujajua tu kuna hujuma zinafanyika za kutosha nyuma ya paziaHakika nikiri bila Juuko beki ya simba silolote.Wapenzi wa Jf tukutane round ya mwisho.Kama simba atachukua ubingwa kwa kucheza namna hii basi itakua muujiza! Nikiri tumelogwa na kulogeka baada ya kufungwa na Lyon.All the best,kwaherini.
Huwa hatuongei kama mnavyoongea nyie, too much
wewe hujajua tu kuna hujuma zinafanyika za kutosha nyuma ya pazia
Kwani ndege kitu gani, mbona Yanga amekuwa akipanda lakini anapigwa vilevile. Iacheni Simba yetuHatimaye MwaTrump kashinda. Hampandi ndege ng'oo size yenu mchangani mikia. Wapi rekodi ya kumaliza mzunguko, bila ya kufungwa. Yaani ndio mmefungulia makapu ya magoli.
Wachawi wa Simba wapo Yanga, wanatumia misuli yao kuihujumummeanza kutafutana Uchawi ......tulieni hivo hivo.............
Mtaongea sana ila ubingwa msimu huu ni wa Simba, afe beki afe kipa kama Trump vileeeNa bado babakeeeeee
Shemeji punguza munkari, tuliwaambia msitukane mamba, kabla hamjavuka mto. Za miaka kwanza shem, miss you sana. PoleKwani ndege kitu gani, mbona Yanga amekuwa akipanda lakini anapigwa vilevile. Iacheni Simba yetu
idawa nakupendeaga hapa tu aiseeeeWamatopeni ni wamatopeni tu.!
Alikuja kwa mbwembwe sana. Sasa chaliiiMifugo The Flop
[emoji23] [emoji23] [emoji23]