Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Hakika nikiri bila Juuko beki ya simba silolote.Wapenzi wa Jf tukutane round ya mwisho.Kama simba atachukua ubingwa kwa kucheza namna hii basi itakua muujiza! Nikiri tumelogwa na kulogeka baada ya kufungwa na Lyon.All the best,kwaherini.
 
wewe hujajua tu kuna hujuma zinafanyika za kutosha nyuma ya pazia
 
Hatimaye MwaTrump kashinda. Hampandi ndege ng'oo size yenu mchangani mikia. Wapi rekodi ya kumaliza mzunguko, bila ya kufungwa. Yaani ndio mmefungulia makapu ya magoli.
Kwani ndege kitu gani, mbona Yanga amekuwa akipanda lakini anapigwa vilevile. Iacheni Simba yetu
 
Kwani ndege kitu gani, mbona Yanga amekuwa akipanda lakini anapigwa vilevile. Iacheni Simba yetu
Shemeji punguza munkari, tuliwaambia msitukane mamba, kabla hamjavuka mto. Za miaka kwanza shem, miss you sana. Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…