Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

Najiamini mkuu,huwa sifichi pande ninazozishabikia.
Nikipenda napenda na ninajitoa pamoja na kujivunia kwa kile ninachokipenda/kukishabikia.
Shukraan.
Sifa kuu ya ukweli ni kujiamini na uwezi kujiamini kabla ya kujitambua. Hongera
 
Kichaa haponi..
Naona chizi anafukuzwa na makopo yake

Azam,3 mwadui 1



A
 
Lakn hata akifungwa na yule wa njano akishinda,,,!nani ataongoza ligi
Wanaume wa njano watapunguza gape la point,tulizidiwa kwa point 8 nafikiri.
Sasa simba wamepoteza mechi mbili (8-6=2)
 
Back
Top Bottom