Arbert
Member
- Dec 26, 2016
- 15
- 11
KUTOKA SOMALIA MBAKA KENYA 2
Baada ya serikali ya Kenya na vikosi vyake vya usalama kuendelea kushikilia msimamo wao kwamba mauaji hayo yalikua yanatekelezwa na viongoz wa siasa nchini humo alshabab waliendelea na mipango yao zidi ya Kenya daa mpango wa kuwashika wausika wa mauaji hayo popote walipo ilikua ni vigumu kidogo kwakua bado ilikua hakuna ushaidi kamili ulioonyesha kwamba walikua alshabab lakini baazi ya maafsa wa usalama walizid kushikilia kua wanasiasa wanausika na mauaji hayo na sio alshabab .Kilomita 15 kutoka witu eneo la pandangua alshabab walivamia mnamo majila ya saa tatu usiku watu wakiwa namilizia swala katika mwezi wa ramadhani msikiti ulivamiwa na kuwaweka chini ya ulinzi watuwote na kuwadhibit watu wenye silaha kabla ya kuondoka wana alshabab walivamia hospital na kuchukua madawa baada ya kukamilisha uvamizi huo walipotelea kwenye msitu wa boni baada ya shambulizi hili selikali ya Kenya ilituma wanajeshi wa jeshi la Kenya KDF kuwasaka alshabab kwenye misitu ya boni Alshaabab walitoa tishio kua bado kijiji cha witu nacho lazima wataingia watu walizidi kukamatwa wakihisiwa kuusika na matukio hayo uku serikali ikiendelea kushikilia kwamba maswala ya ardhi ndo chanzo cha mauaji hayo, sheikh abuu musab wa alshabab alitangaza kupitia kituo kimoja cha redio nchini somalia kua alshabab ndio walio usika na matukio hayo yanayo tokea nchini kenya msako zidi ya washukiwa wa matukio hayo ulizid kudidimia uku serikali ya kenya ikizidi kuamini kua ardhi ndio tatizo siku chache badae gavana wa lamu alitiwa mbaloni katika mazungumzo yake alisema huenda alilengwa kwasababu ya msimamo wake mkali juu ya ardhi eneo la lamu, shuhuda mmoja alie ponea kifo alisema alshabab walikua hawaongelei kuusu ardi au shamba bali walikuwa wanataka serikari ya kenya waondoe jeshi lao nchini somalia baada ya majuma kadhaa serikali ilibadilisha mtazamo wake nakusema kwamba huenda wanao usika na matukio hayo huenda ni alshabab kilicho fuata ni wabunge kuimba wimbo huo huo wa je ni nan hasa anae husika na mauaji hayo je ni alshabab au ni wanasiasa , baada ya mda kidogo kupita alshabab walivamia basi la abilia la TAHMEED karibu na kituo cha polisi cha witu na watu wanne wakapoteza maisha ikiwemo afisa mmoja wa polisi ili lilikua ni pigo lingine kwa nchi ya kenya wilichosahau kuvumbua ni juu ya alshabab wanavyo ichinguza serikali na kupanga mipango yao kabla ya alshabab kuvamia lamu alshabab walianza kuwaua watu waliokua wanafanya kazi za kijasus nchin kenya hapa ndipo serikali ya kenya ikaanza kuwafatilia watu walio hisiwa kua ni wafuasi wa kikundi hicho cha kigaid na wengiwao walikua ni viongoz wa dini ya kiislamu serikali iliwachunguza na baazi ya viongoz hao wa dini ya kiislamu wali uwawa kinyama na wengine kupotelea kusiko julikana ilikua ni ngumu kuwapata wanachama wa alshabab na wengi waliisiwa ni wanachama baada ya kauli zao kuusu jehaad kisa cha kwanza kilikua ni cha said mohamed ambae alipiga risasi sita kichani na maafisa wapolisi ilielezwa kwamba said alikua anelekea msikitin mjian maafisa wa polisi walimkamata na kumludisha nyumbani haraka huku akiwa amefungwa pingu waliingia nae moja kwa moja mbaka chumbani kwake na kuuwawa kwa baada ya majuma kadhaa kupita lilifuata tikio la kupotea kwa Sheikh samir hashim ismail khan mnamo saa sita mchana april 10 2012 samil khan akiwa na muhamed kassim walivuka kwenye kivuko kuelekea Mombasa inasemeka na baada ya kuvuka kivukio hicho walikutana na maafisa wa ATPU na kutoweka kusiko julikana habari za kutoweka kwa wawili hao ziligonga vichwa vya habari ndugu wa wawili hao walianza kuwatafuta kwenye vituo vya polisi na vyumba vya kuhifadhia maiti polisi wa mjini Mombasa na viongozi wa ATPU walikana vijana wao kuusika kwenye swala hili wiki moja baadae mwili wa shekh samir khan ulipatikana ukiwa na majeraha makubwa kwenye sehemu zote za mwili kazi iliyo kua imebaki ni kumtafuta mtu ambaye walikua na wasiwasi nae kwa siku nyingi Shekh aboud logo shekh logo alijulikana kwa misimamo yake mikali dhidi ya jesh la Kenya nchini Somali shekh logo alianza halikati zake muongo mmoja uliopita akitokea katika visiwa vya siyu alitoa kauli nzito kuusu serikali ya Kenya,marekani,na viongozi wakiislam ambao alikua anaona wanaenda kinyume na dini yake ya kiislam kwa mujibu wa umoja wa mataifa ilisemekana kua logo alikua mwanachama wa kikund cha MIC kilicho tajwa na umoja wa mataifa kuwa na mausiano na alshabab mara kadhaa alikamatwa kwa kuusishwa kua na silaha lakini serikali ilikosa ushaid wa kumuweka hatiani shekh logo siku moja shekh logo akiwa yeye mkewake na mkwe wake inadaiwa barabara ya shanzo ilifungwa ilikua nigali yake tu ambayo ilikua barabaran posipo kugundua chochote kinacho endelea aliendelea kuendesha gari karibu na kituo cha polisi cha bambuli gali ya shekh logo ilishambuliwa kwa risasi ambazo risasi 17 kati ya risas 25 zilimpata logo na gali kupoteza uelekeo na kuingia mtaloni matukio ya viongozi hao hayakuishia hapo lilifuata tukio la kuuwawa kwa Sheikh abubakar makaburi inasemekana kijana mmoja aitwae shaban alikamatwa na kikosi cha ATPU nakutumia mbinu mbalimbali ili aweze kuyatambua majina yaliyo kwenye kalatasi na alisema hayatambui na moja kati ya majina hayo ni shekh makaburi walilipoti polisi na kuomba kuwekewa ulinzi kutokana na wasiwasi wa kupotezwa kama wenzake na amekua akipewa vitisho na vikosi vya usalama inasemekana sheikh makaburi ali uwawa nje ya maakama jijini Nairobi serikali ya Kenya inaendelea kupambana na kikundi hichi ijapokua ni kazi ngumu kuwatambua wanamgambo hawa wakiwa uraiani lakini serikali inazidi kutumia mbinu mbali mbali kuwa dhibiti wanamgambo hawa.