Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Hii ilikuwa kabla hatujarudishaTulipapasana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikuwa kabla hatujarudishaTulipapasana
Ooooh! kweli, na sisi ndio machampioni eeh?Hii ilikuwa kabla hatujarudisha
Hahaaaa. Huu uibukaji huu unanipa shaka. Yaani machungu yamekwisha ndio watokea lol.Na sisi tuliwapapasa
Hahaaa. Nshapoa tayari ndio mpira ule Sesten. Hata Liverpool alipitia hayo. Teh.Poleni Wanayanga
Hahahaaa,siku ya mechi lazima uingie humu kimachalemachaleHahaaaa. Huu uibukaji huu unanipa shaka. Yaani machungu yamekwisha ndio watokea lol.
Kweli kabisa. Hongereni.
Usinikumbushe ya Liver Hajar, yule golikipa wetu si bure atakua alipewa pesa na wacheza kamari maana si kwa magoli ya namna ileHahaaa. Nshapoa tayari ndio mpira ule Sesten. Hata Liverpool alipitia hayo. Teh.
Pengine bado anashangilia ubingwa
Itakuwa sababu sio kawaida asitokee maana anaweza asiandike ila akaacha hata like ambayo huwa inaniaminisha kwamba yupo.Pengine bado anashangilia ubingwa
Naamini akimaliza kulitembeza kombe la ubingwa atarudi kuja kukupa pole ya kuikosa hata nafasi ya pili, hahahaaaItakuwa sababu sio kawaida asitokee maana anaweza asiandike ila akaacha hata like ambayo huwa inaniaminisha kwamba yupo.
Hahahaaaa. Huwezi amini nilijipanga kuangalia mechi jana usiku ila baada ya kupigwa kimoja cha mapema nikajisemea cha kujisononesha nini nkaenda zangu kulala kumbe huku nyuma magoli yaliongezeka lol.Naamini akimaliza kulitembeza kombe la ubingwa atarudi kuja kukupa pole ya kuikosa hata nafasi ya pili, hahahaaa
Ila mwaka huu kweli game imewakataaHahahaaaa. Huwezi amini nilijipanga kuangalia mechi jana usiku ila baada ya kupigwa kimoja cha mapema nikajisemea cha kujisononesha nini nkaenda zangu kulala kumbe huku nyuma magoli yaliongezeka lol.
Ila nshapoa sasa.
Wacha kabisa. Tunaganga yajayo sasa.Ila mwaka huu kweli game imewakataa
Wasiwasi wangu ni kwenye kombe la shirikisho, kwa kikosi kile na uchezaji ule safari yenu yaelekea itakua fupi sanaWacha kabisa. Tunaganga yajayo sasa.
Hahahaaa. Wacha kutukatisha tamaa basi jamaani lol.Wasiwasi wangu ni kwenye kombe la shirikisho, kwa kikosi kile na uchezaji ule safari yenu yaelekea itakua fupi sana
Hahahaaa, yaani kwenye mechi zenu naweza nika bet vizuuri jinsi mnavyopewa dozi na mkeka wangu wala hauchanikiHahahaaa. Wacha kutukatisha tamaa basi jamaani lol.
Tusibiri tuone mwisho wa siku tutaisha wapi.
Hahaaaa. Sio kwa dharau hizo Sesten. Ila ujue haya ni mambo ya kupita tu lakini.Hahahaaa, yaani kwenye mechi zenu naweza nika bet vizuuri jinsi mnavyopewa dozi na mkeka wangu wala hauchaniki
Unajua mipango ya Yanga siku zote ni kuifunga Simba tu baasi mnaridhika, lakini mkienda kimataifa....looh mama yangu! mnakua mdebwedo kama urojo wa forodhani UngujaHahaaaa. Sio kwa dharau hizo Sesten. Ila ujue haya ni mambo ya kupita tu lakini.