Kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo nauli ni kiasi gani?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
 
Bajaj buku mpaka Manzese kisha unamalizia jero kwa daladala mpaka Kariakoo
 
Vip vibaka niwakwepeje mkuu?
Ukishuka tu kwenye basi usipoteze muda ndani ya kituo , we toka nje kabisa utakuta gari za mwendokasi ,bodaboda, bajaji, n.k

Hakikisha mizigo yako unabeba mwenyewe kama unaimudu,, au laa kama unayo mingi basi ukimpa kuli akubebee mfatilie yaani uwe nae bega kwa bega , lasivyo atatokomea nalo.
 
Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.

Stendi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom