Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Kwenye hili tusijali cheo cha mtu, wadhifa au umaarufu wake wote waadhibiwe vikali.
Kuna wengine wana kinga ambazo wamejiundia kwa kutumia bunge hilihili, basi tuwakabidhi kwenye mahakama za kidunia ambako hawana kinga za kipuuzi kama hizi.
Na vikao vijavyo vya bunge tuangalie namna ya kupunguza hizi kinga zinazowapa nafasi watu kutenda ya hovyo kwa vile hawataguswa.