Wanamichezo,
Leo ni mtanange wa Yanga na Azam, kwa timu zetu za Tanzania naweza kusema ndio mechi yenye msisimko na hamasa kuliko zote. Ikiwa ni robo fainali kuangalia mwakilishi wetu atakaetuwakilisha nusu fainali na fainali hatimae kombe kama akifanikiwa. Tuwe pamoja mishale ya saa kumi na robo nikujuze yanayoendelea uwanja wa taifa. Mshindi atapambana na KCCA hatua ya nusu fainali baada ya kuishinda Al Ahly Shandi.
Kikosi cha Azam
Manula Aishi, Agrey Morris, Kheri Abdallah, Pascal Wawa, Shomari Kapombe, Farid Mussa Shah,Himid Mao Mkamy, Jean Mugiraneza, Domayo Frank, John Bocco na Kipre Cheche
Yanga
Ally Mustafa, Mbuyu Twite, Juma Abdul, Kevin Yondani, Mwinyi Haji, Deus Kaseke, Nadir Haroub, Amis Tambwe, Haruna Niyonzima, Godfrey Mwashiuya na Donald Ngoma
=========
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Azam ndio wanaanzisha mchezo wa leo.
04' Azam wanakosa goli, mpira kutoka winga unafanikiwa kutibuliwa na mlinda mlango.
11' Kona ya kwanza inapigwa na Yanga na kupanguliwa na mlinda mlango wa Azam.
35' Kipre anakosa goli baada ya kubaki yeye na mlinda mlango.
45+1' Mpira ni mapumziko
===
45' Azam wanafanya mabadiliko kwa Morald kuingia kuchukua nafasi ya Abdallah Salum, Domayo pia anatoka kumpisha Ammy Ally
52' Milango bado migumu na Kipre anakosa goli lingine baada ya kupokea cross na kutoa nje.
60' Nje kidogo ya box Juma Abdul anamchezea ndivyo sivyo mchezaji wa Azam na kupewa kadi ya njano, Pia Yanga wanafanya mabadiliko kwa kumtoa Kaseke kumpisha Salum Telela. Mlinda mlango wa Yanga anapangua mpira wa adhabu uliopigwa na Kipre.
67' Ammy Ally wa Azam anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Juma Abdul na anabwebwa kwenye machela, Joseph Zutah anaingia kuchukua nafasi yake.
71' Himid Mao anachezewa rafu na Mbuyu Twite na kupokea kadi ya njano.
84' Azam wanakosa goli baada ya kucheza mpira safi langoni kwa Yanga na beki kujichanganya na mlinda mlango wake.
90+3' Timu zimeshindwana dakika za mchezo na sasa mshindi atapatikana kupitia matuta na timu ya Azam ndio wanaanza kupiga matatu.
:A S soccer: Kipre anaanza kwa kushinda penati ya kwanza
:A S soccer: Telela wa Yanga nae anafunga na kuwa 1-1
:A S soccer:John Bocco nae anaifungia timu ya Azam, 2-1
:A S soccer:Nadir Haroub nae anafunga kuweka rekodi sawa, 2-2
:A S soccer:Himid Mao wa Azam nae anaingiza wavuni na matokeo, 3-2
:bowl:Haji Mwinyi wa Yanga anachemcha na kumpa mlinda mlango, 3-2
:A S soccer😛asco Wawa anaifungia Azam na matokeo kusoma, 4-2
:A S soccer:Mwashiuya wa Yanga anafunga, 4-3
:A S soccer:Aggrey Morris anafunga shoo na matokeo ya jumla kuwa, 5-3
Yanga SC wametolewa kwenye mashindano kwa mikwaju ya penati, hivyo Azam anasonga mbele kwenda na hatua ya nusu fainali kwenda kukutana na KCCA kutoka Kenya