Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kwakweli Toto wamebadilika wanafanya makubwa hapa,wanacheza kwelikweli.
Yanga wamepoa,wanafanya counter attacks chache.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Kama nakuona unavyoomba mpira uishe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hah hah hah Nifah we utakuwa mtabiri aisee...kama upo mawazoni mwangu vile hah hah adui muombee njaa tu
 
Commander mi timu zote hizo zinaniuma sana. Kwa ukweli Toto kushuka ni pigo na Yanga kukosa point na ni pressure kwa mnyama yupo karibu.
Pole sana kamanda,mimi ni Yanga tu.
Tukiwafunga Toto ndiyo furaha yangu.
 
Namna gani pale Yanga wanakosa goli la wazi kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…