Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Hahahaha nlsema, pengo la msuva lilionekana gem ilopta na leo lpo tena
 
Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Simon Msuva baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Mbeya City.

Kikosi cha Yanga
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya

Akiba

Deogratius Munishi
Juma Abdul
Nadir Haroub
Matheo Antony
Deusi Kaseke
Emmanuel Martin
Justine Zulu.
=======
ngapi ngapi
 
aaaaaah nifah weee kama kawa.. nipe matokeo ngapingapi..
nataka nijiandae kumfungua JAKIDANIELI😛 wangu hapa
Hahahaaaaa wewe sio yule bwana mpua kweli?
Bado ni 0-0 mkuu.
Yanga wanatakata lakini hakuna goli lililopatikana.
 
Hahahaaaaa wewe sio yule bwana mpua kweli?
Bado ni 0-0 mkuu.
Yanga wanatakata lakini hakuna goli lililopatikana.
Commander mi timu zote hizo zinaniuma sana. Kwa ukweli Toto kushuka ni pigo na Yanga kukosa point na ni pressure kwa mnyama yupo karibu.
 
Back
Top Bottom