Fstborn
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 507
- 527
Wanamwanza au mikia?Wana Mwanza tunataka kuwaona vijana wetu Toto Africa Vpl tena mwakani, so tunawaomba wakaze kumzuia baba yao huyo hah hah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamwanza au mikia?Wana Mwanza tunataka kuwaona vijana wetu Toto Africa Vpl tena mwakani, so tunawaomba wakaze kumzuia baba yao huyo hah hah
Hah hah hah mkuu wana Mwanza tunaipenda sana timu yetu ya Toto Africa licha ya ujio wa Mbao!Wanamwanza au mikia?
Hahaha umemmaliza.Wanamwanza au mikia?
ngapi ngapiKlabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Simon Msuva baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Mbeya City.
Kikosi cha Yanga
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya
Akiba
Deogratius Munishi
Juma Abdul
Nadir Haroub
Matheo Antony
Deusi Kaseke
Emmanuel Martin
Justine Zulu.
=======
Tuombe kheri mkuu.Tutamfunga Toto na tutamsaidia na mtibwa ila sio sisi Nifah tunataka ubingwa na unapatikana leo
aaaaaah nifah weee kama kawa.. nipe matokeo ngapingapi..Hahaha umemmaliza.
0-0ngapi ngapi
Hatari ya kufungwa au? Yaan msiposhinda leo ninavyowajua mbao kwao mhBado milango ni migumu,timu zinashambuliana kwa zamu,japo Yanga wana hatari zaidi...
Hahahaaaaa wewe sio yule bwana mpua kweli?aaaaaah nifah weee kama kawa.. nipe matokeo ngapingapi..
nataka nijiandae kumfungua JAKIDANIELI😛 wangu hapa
Hebu wasaidieni hao Toto wasishuke darajaBado milango ni migumu,timu zinashambuliana kwa zamu,japo Yanga wana hatari zaidi...
hahahahahaaa husahau na wewee loh😎Hahahaaaaa wewe sio yule bwana mpua kweli?
Bado ni 0-0 mkuu.
Yanga wanatakata lakini hakuna goli lililopatikana.
Yanga wana hatari zaidi golini mwa Toto.Hatari ya kufungwa au? Yaan msiposhinda leo ninavyowajua mbao kwao mh
nimeongezea na dompo 2 nasubiria kilio cha jangwani🙄
Wao mechi zote wajilegeze wafungwe wategemee mbeleko ya Yanga? Hakuna msaada [emoji4]Hebu wasaidieni hao Toto wasishuke daraja
Kama mlivyomchapa faYanga wana hatari zaidi golini mwa Toto.
Hahaha mmeshaanza,mbao tunamchapa akiwa kasimama...subiri uone.
Commander mi timu zote hizo zinaniuma sana. Kwa ukweli Toto kushuka ni pigo na Yanga kukosa point na ni pressure kwa mnyama yupo karibu.Hahahaaaaa wewe sio yule bwana mpua kweli?
Bado ni 0-0 mkuu.
Yanga wanatakata lakini hakuna goli lililopatikana.
we endelea tu kujipa matumaini hah hahYanga wana hatari zaidi golini mwa Toto.
Hahaha mmeshaanza,mbao tunamchapa akiwa kasimama...subiri uone.