Kwani kuapply mwisho lini wakuu?
Wanafunzi walomaliza mwaka huu form six ombeni vyuo kwani kuanzia leo mtandao wa tcu umewaruhusu rasmi.
muapply mapema ili msije tupwa raund zingine,na muwe makini kuangalia old grading system
Mkuu kwani mtu anayewahi kuaaply mapema ana uwezekano mkubwa wa kupata chuo kuliko yule aliyechelewa?
Tatizo mwaka jana kuna watoto walitoka jeshi wakajaza kozi na wakakosa eti zimejaa so wakajikuta wanajaza kozi ambazo hawakuwa wakizitaka ili tu wapate vyuo. Sasa huko jeshini hizo vocha mtawalipia au maana hata simu mmewanyang'anya tutawapataje. Mi mtoto wangu nimemjazia kwani data zote aliacha. Vp kuhusu bodi ya mikopo nako itakuaje maana walifunga june.