Kutoka TCU

Kutoka TCU

muapply mapema ili msije tupwa raund zingine,na muwe makini kuangalia old grading system
 
Vocha zimeshaanza kupelekwa jkt uliza waliopo kambi ya ruvu
 
Tatizo mwaka jana kuna watoto walitoka jeshi wakajaza kozi na wakakosa eti zimejaa so wakajikuta wanajaza kozi ambazo hawakuwa wakizitaka ili tu wapate vyuo. Sasa huko jeshini hizo vocha mtawalipia au maana hata simu mmewanyang'anya tutawapataje. Mi mtoto wangu nimemjazia kwani data zote aliacha. Vp kuhusu bodi ya mikopo nako itakuaje maana walifunga june.
 
Hii ni hatari sasa.
 
Back
Top Bottom