Kutoka Tunduru: Wakulima wa Korosho wapokea zaidi ya Sh. Milioni 500

Ufipa ni afadhali wakajikita zaidi kusaka mtaji wa kukarabati ofisi zao, badala ya kupoteza muda kupinga juhudi za serikali katika kuwatetea wakulima wa korosho.
 
Mzigo umeingia wiki hii hii
Sasa unaposema hakuna maendeleo na hakuna chochote walichofanya, hv kuna interval gani kubwa hapo Hadi Leo hii.. Kwan maendeleo yanakuja kwa siku 1 au 2...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…