Kutoka Ufisadi hadi Uuaji: Tuwakubalie au Tuwakatilie...?

Hii comment inatoka kwako MTAZAMO?

Kweli mmemchoka mama. Sikufikiria
 
And then , unaona wajinga wachache sana ,(Though wana nguvu ya dola) , wanapanga kuifuta mazima Jamii Forum.

Mawazo haya tutapata wapi? Michango bora kama ya Paschal Mayalla kwenye Uzi huu tutasoma wapi....

Walaaniwe wote ,waliopanga na kuratibu kufungiwa JF.
 
Ni njia gani halali wananchi wanaweza kuitumia kuitoa CCM madarakani?
Mabadiliko ya katiba kupitia michakato halali, vyama vya siasa visambae huko mikoani ili wananchi waweze kuvifahamu kwa undani.

Vyama visiishie humu kwenye posts za instagram na facebook na kutoa matamko ambayo mtu wa kawaida hata hayafahamu, visogee walipo wananchi na sio kuonekana huko miezi miwili kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Msigwa jinga sana anadhani atatawala milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…