Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

usiwe mjinga kama lowasa...huyo January anasoma Kuna telemproter mbele yake...kama huijui uliza
Jamaa walitaka kutufunga kamba hawajui kuwa hiyo Technology kitambo inatumika JK mwenyewe ameshawahi tumia
 
Jamaa anadesa speech huko kwenye power point ,halafu anatuhadaa eti hasomi popote,huyu muongo sana
 
Atakuwa na matumizi makubwa sana huyu jamaa kwa hizo Sera zake...
Mabaraza mengi sana
 
Aisee..... so mawaziri 18..... katiba ilopendekezwa na chama chake kinataka mawaziri wangapi vile?
 
Amesemaje kuhusu sekta ya mawasiliano? atafanya nini ili kupunguza ghalama za maongezi ya simu?
 
baada ya uchunguzi nimejiridhisha kwamba ccm haina mgombea , hawa wachumia tumbo tulioletewa ni kituko , huyu january anaongea uongo mkubwa sana , vipaumbele lukuki !

Tatizo la watanzania mmeshindwa kujiamini ila les sasa tanzania imechoka huyu ndiyo fundi wa kushona viraka giving
 
Makamba haya yote hakuyajua ? Mbona ndiyo kila siku wapinzani wanapigia kelele na wao wanawabeza Bungenu hadi nje ? The guy kuwa waziri lakini bei ya simu juu .
 
kijana mwenye uwezo wa kuyaainisha na kuyachambua matatizo na kero za wananchi na kuonyesha namna anavyoweza kuyatatua...big up!

ameleta hii cybercrime bill Act ambayo inaifunga hii JF! bado unadhan anafaa?
 
Chadema yupo mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine.

Uwa una hoja mfu sana,
Nijibu haya, DR slaa amegombea mara ngapi Uraisi wa Tanzania?

Labda unasahau ndio tayizo la CCM wagumu kuelewa, wepesi kusahau, makada kama Mwandosya, Lowasa mara ngapi wamewania nafasi ya Urais ndani ya CCM?

Acha siasa mfu. Huyu Slaa ndie anae waumiza kichwa.

Mwaka 2010 aliposhinda, ilibidi wagombea baadhi wa urais watoe kura zao kumuokoa Kikwe.

Kadi za kualika watu katika Uapishaji wa Rais ilibd zisimamishwe kwa Muda wa set mambo maana watanzania walishamtema kikwe.

Leo hakuna ndani ya ccm asiejua hatari inayoikabiri CCM mwaka huu, maana kama 2010 iliwezekana kwann mwaka huu ambao upepo unaonesha watu wengi hawaiungi mkono CCM ushindikane?

Na hapohapo zingatia kwaka 2010 tulikuwa tunazungumzia Chadema Leo tunazungumza Habari Za UKAWA.

Brother tuache siasa za mitandaoni, jiandaeni kisaikolojia. Mako Nyerere anasema Site Mambo Yamebadilika.
 
Halafu anadai ataanzisha mikopo ya milioni 50 kwa kila kijiji watu wakopeshane....Sera gani za ajabu ajabu hizi
Kasahau mabilioni ya kikwete yalikoishia...
 
Eti wavuvi watapewa Boti,jamani uongo mwingine huu.imeshindikana kununua Meli tu kwenye ziwa victoria ya kwenda Bukoba,Ziwa Tanganyika,ziwa Nyasa,leo tunadanganywa wavuvi watanunuliwa boti uongo huu,kuna cha bure hapa duniani?

Hiyo ni mikakati katika kuijenga TANZANIA mmpya ,muachane na kupenda njia za shortcut huyu ndiiye atakayetuvusha ....
 
Huyu kweli kilaza. Na sijui anadhani watanzania nao vilaza kama yeye!! Muongoooo
 
Naona wazee wake wakimsikiliza wanacheka tu. Dogo anatuletea mambo ya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…