nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Huyu ni team lowasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa walitaka kutufunga kamba hawajui kuwa hiyo Technology kitambo inatumika JK mwenyewe ameshawahi tumiausiwe mjinga kama lowasa...huyo January anasoma Kuna telemproter mbele yake...kama huijui uliza
Umejuaje matumbo? Naona jamaa kameza.
kwani gesi ndio chanzo pekee cha mapato au hujui gesi nayo n rasilimali anaposema atatumia rasilimali vizuri ktk kutatua changamoto ni pamoja na iyo ges yako piavyanzo vya mapato ya ziada ya january makamba bila kuzungumzia gesi huyu jamaa anafaa kuwa raisi
View attachment 258229
baada ya uchunguzi nimejiridhisha kwamba ccm haina mgombea , hawa wachumia tumbo tulioletewa ni kituko , huyu january anaongea uongo mkubwa sana , vipaumbele lukuki !
Dogo anajitahidi
kijana mwenye uwezo wa kuyaainisha na kuyachambua matatizo na kero za wananchi na kuonyesha namna anavyoweza kuyatatua...big up!
Chadema yupo mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hamna mwingine.
Kumbe anasoma
Eti wavuvi watapewa Boti,jamani uongo mwingine huu.imeshindikana kununua Meli tu kwenye ziwa victoria ya kwenda Bukoba,Ziwa Tanganyika,ziwa Nyasa,leo tunadanganywa wavuvi watanunuliwa boti uongo huu,kuna cha bure hapa duniani?
Anatumia teleprompter kusoma hotuba yake.Jamaa anadesa speech huko kwenye power point ,halafu anatuhadaa eti hasomi popote,huyu muongo sana