Mbona kuna mabeki visiki pia waliruhusu goli saba?taifa starz vs algeria,brazil vs german
Lini hao mabeki walijiita visiki?Mbona kuna mabeki visiki pia waliruhusu goli saba?taifa starz vs algeria,brazil vs german
... kama majanga yanavyokuwa kwa Yanga katika mechi za kimataifa!Mnyama aka Mchangani FC ni mzuri sana kwa mechi za mchangani za majaribio! Majanga huanza pale mechi za ligi kuu zinapochezwa na hasa raundi ya pili.