Kutoka Unguja: Simba S.C 5-2 Kimbunga F.C

Kutoka Unguja: Simba S.C 5-2 Kimbunga F.C

Simba tufungieni Azam ...sisi (Yanga) ninyi ni ndugu zetu. .msituangushe kwa hilo tupo nyuma yenu

Japo ninyi si ndugu zetu [ni watani wetu].. Hakuna namnna, Azam lazima afungwe tu.
 
Mpira ni mchezo wa makosa,usishangae Simba kutengeneza nafasi zaidi ya 8 wakatupia nyavuni 5.The same,kwa Kimbunga FC kupata goli mbili s i tatizo.Timu ikiwa imefunguka ni rahisi sana makosa madogo kuleta madhara.
Vile vile Kimbunga ni timu ya pili kwenye msimamo kule Zenji(kama ilivyo YEBO huku Bara).Si timu ya kubeza.
 
Mnyama aka Mchangani FC ni mzuri sana kwa mechi za mchangani za majaribio! Majanga huanza pale mechi za ligi kuu zinapochezwa na hasa raundi ya pili.
... kama majanga yanavyokuwa kwa Yanga katika mechi za kimataifa!
 
Huko mchangani hakuna anaewaweza,nyinyi ni mabingwa wa kihistoria wa mchangani.
 
Njooni na mapower bank yenu mtawakuta azam na container yaliyokamatwa ndio mtajua mpira sio vuvuzela...ati kimbunga!!!!!
 
Back
Top Bottom