Wanajamvi toka nmejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone naomba msaada
vumilia tu.. wanaume tumeumbwa mateso.
Gonorea hilo,umekoswakoswa sana ni U.T.I,ila 98%una gono,zama za kuwaamin mademu na kwenda kavu zilipitwa,angalia sana kijana!