Kutoka ute mweupe kwenye uume

Kutoka ute mweupe kwenye uume

ngaillob

Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
66
Reaction score
32
Wanajamvi toka nimejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka.

Je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone, naomba msaada.
 
Kibofu cha mkojo kina uchafu Fanya kunywa maji ya kutosha.
cha maana zaidi muone daktari
 
Dalili ya kaswende wahi hospitali umuone dr. Usinywe dawa kabla kupima na kushauriwa
 
Gonorea hilo,umekoswakoswa sana ni U.T.I,ila 98%una gono,zama za kuwaamin mademu na kwenda kavu zilipitwa,angalia sana kijana!
 
Wanajamvi toka nmejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone naomba msaada

Nenda hospital haraka sana!
 
piga anti biotic, ila nenda hospital au famasi yenye wafamasia professional watakushauri dawa ya kutumia
 
Wadau nashukuru kwa ushauri wenu ngoja niwahi fasta kwa dokta
 
Wadau nmeenda phamacy wamenipa dawa zinaitwa leocef capsules ngoja nianze dozi
 
hahahaha umegonga mkuu hembu fanya mpango wakakuchome sindano la mbwa
 
Leocef ni trade name ya CEPHALEXIN CAPSULES, Nasikitika kukujulisha kwamba kwa hizo dalili ulizonazo hazitakusaidia! nenda hospital inayoeleweka upate tiba sahihi, pole sana mkuu!
 
Wanajamvi toka nmejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone naomba msaada

Kaswende hiyo
 
Back
Top Bottom