Wadau nmeenda phamacy wamenipa dawa zinaitwa leocef capsules ngoja nianze dozi
Ndugu, siamini kama itakutibu, tumia siproflaxin na doxilin 2*2 kwa siku saba ikidunda choma cristapen, kwa kuwa ww ni mara ya kwanza vidonge vitakutibu, pia zingatia uzito wako
Ndugu usirudie tena kuandika prescription namna hii,, unaweza sababisha matatizo makubwa. Sasa kama kuandika majina tu ya dawa hufahamu,, unachokitibu unakijua kweli? Hizi ni afya za watu jamani, sio uwanja wa majaribio hivyo tutoe ushauri kulingana na uelewa wetu na utaalam.
Mfano, mimi nadhani huu ugonjwa ni gonorrhea,, hivyo namshauri huyu ndugu afike hospitali kwa ajili ya uchunguzi na tiba sahihi.
gono hilo vidonge huponi kuna sindano mbili tu kwisha hivo vidonge tupa kabisa
Ndugu usirudie tena kuandika prescription namna hii,, unaweza sababisha matatizo makubwa. Sasa kama kuandika majina tu ya dawa hufahamu,, unachokitibu unakijua kweli? Hizi ni afya za watu jamani, sio uwanja wa majaribio hivyo tutoe ushauri kulingana na uelewa wetu na utaalam.
Mfano, mimi nadhani huu ugonjwa ni gonorrhea,, hivyo namshauri huyu ndugu afike hospitali kwa ajili ya uchunguzi na tiba sahihi.
Wanajamvi toka nmejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone naomba msaada
well said mkuu, alafu nasikitika hamna mtu aliyemshauri aambatane na huyo mwanamke ili wakatibiwe wote kwa lengo la kuutokomeza huo ugonjwa
Km mwanamke mwenyewe kamchukua kimboka je??